Ijumaa ya leo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa burudani ili kuweza kusikia ni hukumu gani itatoplewa na Mahakama dhidi ya malkia wa Bongo Fleva Wema Sepetu kutokana na kupatikana na kosa la matumizi ya madawa ya kulevya.
Wakati hilo likisubiriwa kwa hamu kubwa mwenyewe ameonekana kumtegemea Mungu huku akitegemea kutendewa muujiza mkubwa ambao watu wanaweza wakabaki na bumbuwazi.
Kupitia mtandao wa Instgaram ikiwa ni masaa machache kabla ya kusomewa hukumu yake, Wema ameweka picha hiyo hapo chini.
Katika picha hiyo Madam Sepenga ameongezea maneno yanayosomeka, "Allah humma Ameen Yaraby.... Inshallah... ππΌππΌππΌ."
Post A Comment: