Mbunge Jimbo la Nyamagana Mhe Stanslaus Mabula kupitia  Lake FM  amesema Serikali ya CCM chini ya uongozi wa awamu ya tano wa Mhe Dkt John Pombe Magufuli imedhamiria  kuwa na Zahanati kila kata katika halmashauri ya jiji la Mwanza.

Kutekeleza adhima hiyo imetoa shillingi 122,000,000 taslimu kwa ajiri ya ujenzi wa Zahanati ya Kata kwa kata ya Isamiro.

Imetolewa na
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Nyamagana🇹🇿
Share To:

msumbanews

Post A Comment: