Hatimaye Aliyekuwa   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba Amemkabidhi Ofisi Mh.Kangi Lugola ambaye ndiye Waziri Mpya wa Wizara hiyo aliyeteuliwa wiki iliyopita.

Makabidhiano hayo yamefanyika mapema leo asubuhi kwenye Makao Makuu ya Wizara hiyo yaliyopo Mkoani Dodoma


Hizi ni baadhi ya picha za makabidhiano hayo.






Share To:

msumbanews

Post A Comment: