Home
MATUKIO
Picha: Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg John Pombe Joseph Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi kinachofanyika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam, leo tarehe 10th July, 2018.
Back To Top
Post A Comment: