Wachezaji wa timu ya taifa ya Brazil wakiongozwa na Neymar. Philippe Coutinho wameonekana wakiwa kwenye nyuso zilizokosa furaha wakiwa wanaondoka kwenye hoteli waliyo kuwa wakikaa nchini Urusi.
Kikosi hicho cha Brazil kilipata kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa Ubelgiji mchezo wa robo fainali ya michuano ya kombe la dunia inayoendelea Urusi.






Post A Comment: