Ngome ya Chadema katika Jimbo la Arumeru Magharibi Mkoani Arusha limezidi kuanguka baada ya Diwani wa Kata anayoishi Mbunge wa Jimbo hilo kukihama chama cha Demokrasia Ba Maendeleo na kujiunga na Ccm.
Mapema leo Asubuhi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Oloigero Ndg. Paul Jacob ameamua kujiuzulu uwenyekiti na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga na Ccm.
Mapema leo Asubuhi Mwenyekiti wa Kitongoji cha Oloigero Ndg. Paul Jacob ameamua kujiuzulu uwenyekiti na nyadhifa zake zote ndani ya Chadema na kujiunga na Ccm.
Post A Comment: