Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi Dr. Mwigulu Nchemba, katika mwendelezo wa ziara zake za kuzungumza na wanachi pia kukagua na kukabidhi miradi mbali mbali ya maendeleo, amekabidhi mabati 200 katika hatua za ukamilishwaji wa kituo kikubwa cha Afya kilichojengwa katika kata ya Kinampanda, Kituo hicho cha afya ni cha kwanza katika kata hiyo kongwe kata wilaya ya iramba
MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA
.
Post A Comment: