Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na wajumbe wengine wa Kamati Kuu (CC) ya CCM mara baada ya kuwasili ukumbini kwa ajili ya kuongoza Kikao hicho kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU
Post A Comment: