LIVE: MAZISHI YA MWILI WA MKE WA KIBONDE, KINONDONI DAR msumbanews on July 13, 2018 BURUDANI, Mke wa mtangazaji wa Clouds Media, Ephraim Kibonde, Sarah hatimaye amezikwa kwenye Makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Sarah Kibonde alifariki Julai 11, 2018 katika Hospital ya Hindu Mandal alipokuwa akipatiwa matibabu. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: