Diwani wa kata ya Olturoto kupitia Chadema katika Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
 ( Arusha Dc ) Ndg. Baraka Saimoni ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo leo hii ameamua kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chadema na kujiunga na chama cha Mapinduzi Ccm ili kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
Share To:

msumbanews

Post A Comment: