BreakingNews : Mbunge wa CHADEMA jimbo la Ukonga ajiunga CCM msumbanews on July 28, 2018 SIASA, Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi CHADEMA Mhe Mwita Waitara amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm muda huu kwenye mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Katibu wa Itikadi na uenezi ndugu Humphrey Polepole. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: