Breaking : Mbunge wa Monduli Ajiuzulu na Kujiunga na Ccm msumbanews on July 31, 2018 MATUKIO, Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mondoli Mkoani Arusha kwa tiketi CHADEMA Mh. Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm muda na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na uenezi ndugu Humphrey Polepole. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: