Leo July 27, 2018 Taarifa ya kuifahamu ni kumhusu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo ambapo inadaiwa amekamatwa tena na Polisi na kulala katika Kituo cha Polisi Chuo Kikuu DSM.
Taarifa iliyotolewa inasema Nondoamekamatwa usiku jana July 26 majira ya saa tatu usiku akiwa chuoni hapo pamoja na baadhi ya wanafunzi wenzie.
Post A Comment: