Kikao cha 27, mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeendelea Bungeni mjini Dodoma muda huu, likiwa limeongozwa na Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge, ambapo kipindi cha maswali na majibu kimeaendelea; Tazama matukio katika picha
Mwenyekiti wa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Mbunge wa Mtera Mhe.Livingstone Lusinde akiuliza swali wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Japhet Asunga akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Stanslaus Nyongo ,Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Ashatu Kijaji na Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Dkt Mary Mwanjelwa wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Mbunge wa Vunjo Mhe.James Mbatia akifurahia jambo na wabunge wenzie wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Mbunge wa Kwimba Mhe.Mansoor Hirani akizungumza jambo na Manaibu Waziri wa TAMISEMI Mhe.Josephat Kandege na Joseph Kakunda wakati wa kikao cha ishirini na saba cha mkutano wa kumi na Moja leo Jijini Dodoma
Post A Comment: