Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na Wabunge vijana washindi Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele aliyechaguliwa hivi karibuni Makamu wa Rais wa kwanza wa Bunge la Afrika na Mbunge na Mbunge wa Jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita ambaye pia amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya Vijana ya Bunge la Afrika waliofika ofisini kwake, Kilimani jijini Dodoma.
Tazama picha zaidi:
Post A Comment: