Ngoma ya Chege aliyomshiriksha Diamond Platnumz ‘Waache Waoane’ bado ipo kwenye headlines zake za kiburudani.

Hii ni baada ya beki wa Liverpool, Dejan Lovren ku-share video mtandaoni akisikiliza na kucheza wimbo huo.
Video Player
00:00
00:00
Dejan Lovren
Ngoma Waache Waoane ilitoka Augost 4, 2016, wimbo huo uliotayarishwa Wasafi Records hadi sasa una views Milioni 8.3 katika mtandao wa YouTube
Share To:

msumbanews

Post A Comment: