Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agnes Hokororo ametoa machozi baada ya kukuta wananchi wa eneo la Samanga katika eneo la Useri kulalamikia jeshi la polisi kushirikiana na majambazi katika kuwapiga pamoja na kuwadai rushwa ili waweze kuachiwa pale wanapokamatwa.

DC Hokororo amelaani pia kitendo cha wananchi kujichukulia sheria mikononi na kumuua jambazi anayetuhumiwa kuwaibia wananchi kijijini hapo.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: