Klabu ya Chelsea inaikaribisha Liverpool leo kwenye Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu England.

Chelsea watakuwa wanaialika Liverpool baada ya kushindwa kuutetea ubingwa wa ligi ikiwa ni baada tu ya kuutwaa msimu uliopita wa 2016/17.

Timu hizi zinakutana zikiwa zimetofautiana kwa pointi 6 ambapo Liverpoo ina alama 72 na Chelsea ikiwa na 66.

Mechi hii itaanza majira ya saa 12 na dakika 30 za jioni kwa saa za Afrika Mashariki
Share To:

msumbanews

Post A Comment: