Breaking News : Mbunge wa Singida Apata Ajali msumbanews on May 11, 2018 MATUKIO, Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA), Jesca Kishoa amepata ajali mbaya ya gari asubuhi huko Dodoma Kwa sasa amefikishwa katika hospitali ya Bunge Bonyeza hapa kusoma zaidi Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: