Washiriki wa Warsha ya kujadili na kuboresha maandiko ya miradi mipya ya matumizi salama ya Teknolojia ya Nyuklia, kutoka katika taasisi za Afya, Kilimo, Viwanda, Elimu, Tafiti, Udhibiti, Nishati, Madini na Maji wakiwa katika picha ya pamoja, nje ya ukumbi wa mikutano kwenye jengo la Tume ya Sayansi na Teknolojia jijini Dar-es-Salaam leo tarehe 27/04/2028.

Majumuisho ya maandiko ya Miradi yatawasilishwa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) kwa ajili ya kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza Miradi inayohusisha matumizi salama ya Teknolojia ya Nyuklia kwa mwaka 2020/2021.  Warsha hii imeratibiwa na Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania.

Peter G. Ngamilo
Afisa Mawasiliano Mwandamizi
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania



Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya News ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.

Tumekurahisishia; 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: