Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mh: Fabian Daqarro Akiteta jambo na Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Athumani Kihamia wakati mechi ya Fainali ya Muungano Cup kati ya Timu ya Engutoto na Ngarenaro.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ccm Saitoti Zelothe na Katibu Tawala wa Arusha Mjini David Mwakiposa wakifuatilia mtanange wa Fainali ya Muungano Cup kwa Makini.
Post A Comment: