Muigizaji
wa Bongo movie na mfanyabiashara Shamsa Ford Amefunguka na kudai kuwa
sio kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake ambao wanatoka nao
kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.
Diamond
alizua gumzo hili siku ya jana bada ya video zake kusambaa mtandaoni
akiwa na Hamisa Mobetto chumbani wakikumbatiana na wakati huo huo akiwa
na binti wa kizungu wakiwa pamoja chumbani pia Wakila denda na uchafu
mwingine.
Kwenye
mahojiano aliyofanya na Bongo 5 Shamsa aliulizwa nini maoni yake juu ya
jambo hilo na alifunguka na kumtaka Diamond aendelee kutoka na wanawake
tofauti tofauti kwa kuwa hawajitambui huku amtahadharisha kutumia
kondom ili kuepuka magonjwa na zinaa.
"Mwanaume
hawezi kukufanya mwanamke ukawa chombo cha starehe ...inategemea
mwenyewe na akili yako,kama unataka kuchezewa utachezewa kama unataka
kuwa mwanamke wa muhimu kwake utakuwa inategemea mwenyewe unajiweka
wapi
"Kwa
hiyo mimi siwezi kumlaumu Diamond kama anawatumia maana wenyewe ndio
wameweka mazingira hayo kwa nini asitumie nafasi? Ila mimi namshauri
Diamond awale tu hao wasichana ila akumbuke kutumia kondomu maana
magonjwa mengi”.
Post A Comment: