Baada ya kuachia ngoma mfululizo akiwa na Lil’ Kim na nyingine na Chris Brown, Remy Ma amerudi tena akiwa na A Boogie wit da Hoodie.
Kwenye ngoma hiyo yenye urefu wa dakika 3 na sunde 57, Remy amechana badhi ya mistari kuonyesha hisia zake kipindi alipofungwa gerezani.
“I was getting one visit, two phone calls, three showers a week. Now I get like $90K for my voice just to touch the beat / I will never ask you what you got for me / I just want some sloppy every couple days, I want the D,” amerap Remy kwenye wimbo huo.
Tazama video ya wimbo huo hapa chini.
Post A Comment: