Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh: Mrisho Mashaka Gambo Akivishwa Skafu na vijana wa scauti wakati alipowasili katika Shule ya Sekondari ya Longido.
Mmoja wa wanafunzi wanasoma somo la Sayansi  Akimpatie maelezo Mkuu wa Mkoa juu ya  somo hilo.
Pichani ni baadhi ya Wahitimu wa Kidato cha Sita katika Shule ya Longido High School.
Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo Akiwa ameambatana na  Mkuu wa Wilaya ya Longido wakipata maelezo kutoka kwa Wanafunzi wa somo la  sanaa  Longido High School.

Rc Gambo Akikabidhi vyeti kwa wahitimu wa Kidato cha Sita.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: