Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limesema kuwa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) iliyokuwa irudi nchini siku ya Jumamosi Alfajiri sasa inatarajiwa kurejea Jumanne ya Mei 1, mwaka 2018.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: