Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3319 msumbanews on April 26, 2018 Kitaifa, Rais Magufuli katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao. A Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: