Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewataka wananchi wa Mkoa wa Tabora kuendea kusherehekea sikukuu ya Uhuru kwa amani na utulivu na limetoa onyo kwa wananchi wa Mkoa huu wenye mpango wa kuandamana waache mara moja kwani Jeshi la Polisi Mkoani hapa liko imara na limejipanga kukabiliana na yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP WILBROD MUTAFUNGWA wakati akiongea na waandishi wa habari.
Post A Comment: