Aliyekuwa rais wa awamu ya Nne wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekabidhiwa tuzo na chuo kikuu cha mjini New York, Marekani.
Dkt. Kikwete amekabidhiwa tuzo hiyo Africa House Presidential Award usiku wa Jumatano hii nchini humo.
Mhe. Kikwete amethibitisha hilo kupitia mtandao wake wa Twitter kwa kuweka picha hizo akikabidhiwa tuzo hiyo na kuandika, “The Africa House of the @nyuniversity awarded me with the Africa House Presidential Award this night.”
“I am grateful for this recognition. I dedicate it to all my fellow country men and women whose love and support for me has made me receive this award tonight,” ameongeza.
Post A Comment: