Home
BURUDANI
Picha: Mwili wa Agness Masogange ulivyoagwa Leaders Club
Wasanii
mbalimbali leo wameungana na watu wengine katika kuuaga mwili wa
marehemu Agnes Gerald ‘Masogange’ kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni,
Dar es Salaam, ambapo baadaye leo atasafirishwa kupelekwa Mbeya
nyumbani kwao kwa ajili ya mazishi.
Back To Top
Post A Comment: