Queen Elizabeth Makune ambaye ameshinda taji la Miss World University
Afrika 2017 lililoshirikisha mataifa 53 ya Afrika nchini Korea Desember
2017, jana April 27, 2018 alifika Jijini Dodoma na kufanya mazungumzo
na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.
Susan Kolimba.
Post A Comment: