Picha : MAZOEZI YA POLISI MOSHI MJINI YAZUA TAHARUKI msumbanews on April 24, 2018 MATUKIO, Leo shughuli zimesimama kwa muda katika Mji wa Moshi wakati Vikosi vya Jeshi la Polisi vikipita katika maeneo mbalimbali ya mji huo wakiwa na silaha za moto na kuzua hali ya taharuki kwa baadhi ya wakazi wa Moshi. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: