Muimbaji kutokea label ya WCB, Harmonize ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la DM Chick ambayo amemshirikisha rapper Sarkodie kutokea nchini Ghana, video imeongozwa na Moe Musa. Itazame hapa.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: