Mijadala mingi iliibuka baada ya wasanii AY na Ali Kiba kuamua kuoa wake zao ambao sio watanzania sasa Mrisho Mpoto atoa somo kwa wasichana wa kitanzania na kuwaambia.
" Wasifikirie kukaa utupu ndio wanaweza kuolewa bali ni nidhamu, heshima, kujitunza na kujiheshimu pia akaongeza kwa kuwashauri wajiangalie wapi walipokosea na wajisahihishe
Post A Comment: