Mchezo wa Lipuli FC dhidi ya Simba wa ligi kuu Tanzania Bara ambao uliopangwa kuchezwa Ijumaa hii ya April 20 mwaka huu kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa umepelekwa mbele na kuchezwa April 21.

Mchezo huo namba 202 umepeleka mbele kutokana na wamiliki wa uwanja huo kuwa na shughuli ya kijamii kwenye Uwanja huo siku ya April 20.
Taarifa hizo za kusogezwa mbele kwa mchezo huo zimetolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TFF, Boniface Wambura.
Soma taarifa hiyo hapa chini:
Share To:

msumbanews

Post A Comment: