Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema katika Halmashauri ya Wilaya ya Monduli wamejiuzulu nafasi zao mapema leo Aprili 29 2018.
Madiwani waliojiuzulu ni Diwani wa kata ya Monduli Juu Ndg.Bariki Sumuni Libilibi,Diwani wa Viti Maalum Ndg.Einoth Leringa na Diwani wa kata ya Mikungani Ndg. Gilbert Mawala madiwani hawa wote wamejiuzulu nafasi zao zote ndani ya Chadema na Kujiunga na Chama cha Mapinduzi Ccm
Post A Comment: