Kambi ya jeshi la Umoja wa Mataiafa yashambuliwa nchini Mali
Mwanajeshi mmoja wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa MINUSMA nchini Mali ameuawa na wengine 10 wamejeruhiwa katika shambulizi lililoleng kambi ya Timbokto Kaskazini mwa Mali. Shambulizi hilo litokea Jumamosi majira ya mchana.
Taarifa hiyo imetolewa na uongozi wa kikosi cha Minusma katika ukurasa wake wa Twitter usiku wa Jumamosi kumkia Jumapili. Kambi hiyo ya kikosi cha kulinda amani ya Umoja wa Mataifa ilishambuliwa kwa makombora zaidi ya 10.

Post A Comment: