Mwandishi na mchambuzi wa soka, Edo Kumwembe, ametoa mtazamo wako kuhusiana na penarti waliyoipata Simba jana katika mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.

Kumwembe ameeleza kuwa penati hiyo ilikuwa ya uongo kwa kuandika kuwa Mwamuzi alifeli kutoa maamuzi hayo.

"Free flowing football inapatikana Simba kwa sasa..huku Okwi anakuja, kule Kichuya anakimbiza, kwingine Nyoni anafunguka, kapombe anapanda...Nilitazama Prisons akikaba tu jana. Tatizo penalti ya bao la pili ni ya UONGO. Mwamuzi yupo ligi kuu na haelewi maana ya tackling" ameandika Kumwembe.


Share To:

msumbanews

Post A Comment: