Diwani wa Chama cha Wananchi (CUF) Viti Maalum, Rukaiya M. Ally amejiuzulu nafasi yake ya udiwani kutoka kwa madai ya kukosa ushirikiano ndani ya chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi taifa.
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Application yetu ya Msumba h ili upate habari zetu kwa wepesi zaidi kama vile Magazeti kuliko ilivyo sasa.
Tumekurahisishia;
Post A Comment: