Diwani wa kata ya Naalarami kupitia chadema Ndg. Edward Lenanu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Monduli amejiuzulu rasmi nafasi yake ya udiwani na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM mapema leo Asubuhi .
Tumekurahisishia habari zote unazipata hapa
bonyeza link hapo chini
Post A Comment: