UGANDA:
Afisa Utawala Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Bwana Kisuze Edward
asimamishwa kazi baada ya picha yake akimnyonya mwanafunzi Racheal
Njorogi sehemu za siri kusambaa mitandaoni
Racheal
anadai aliwasili chuoni hapo kufuatilia taarifa zake za usajili ambapo
alikutana na usumbufu mkubwa na baadaye alipopata nafasi ya kuingia
ofisini kwa Msajili, alishangaa ghafla Afisa huyo akimvamia na kuanza
kumnyonya matiti kisha sehemu zake za siri na alishindwa kumdhibiti
kutokana na kumzidi nguvu
Kwa
mujibu wa maelezo ya Racheal, anasema alilazimika kupiga picha (selfie)
wakati tukio hilo likiendelea ili picha hiyo itumike kama ushahidi
pindi atakapoenda kuripoti polisi
Tukio hilo limejiri ikiwa ni siku chache baada ya Rais Yoweri Kaguta Museveni kukemea vitendo vya ngono kwa njia ya mdomo
Post A Comment: