Kuna viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
Kwenye hii list hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika.
Kwenye list nzima ni kiwanja gani kimekutisha zaidi? nitaomba uniachie comment yako mtu wangu..
Post A Comment: