Kikosi cha Simba hii leo kimeendelea na mazoezi yake katika uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi yake dhidi ya Al Masry mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika CAF utakaopigwa Machi 17, 2018 nchini Misri.
Mchezo wa awali uliyopigwa hapa Dar es Salaam wiki mbili zilizopita, timu hizi mbili zilitoka sare ya kufungana mabao 2 – 2 na hivyo watalazimika kuchomoka na ushindi ili kujihakikishia wanasonga mbele.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: