Watu saba wamefariki katika ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lililokuwa likitokea kijiji cha Mkongoro mkoani Kigoma ambapo dereva wake alishindwa kulimudu wakati akishuka kwenye mteremko uliokuwa na kona kali na kumgonga mtembea kwa miguu na kisha likapinduka.
Mkuu wa Polisi mkoani Kigoma, Martin Otieno, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
Post A Comment: