Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara VPL itaendelea leo kwa michezo minne kuchezwa.
Mechi 3 Kati ya Hizo NNE zitaanza saa kumi kamili Jioni wakati mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Mwadui Ukianza majira ya saa moja usiku.
- Azam Fc vs Mwadui Fc
- Lipuli vs Njombe Mji
- Stand United vs Prisons
- Maji Maji Vs Ndanda
Back To Top
Post A Comment: