Waziri wa Ujenzi, Prof. Mbarawa amekagua leo barabara ya Sakina - Tengeru (KM 14.1) ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100 na barabara ya mchepuo ya Arusha(Arusha Bypass- KM 42.4) ambayo imefikia takribani asilimia 56 na ujenzi wake unaendelea.
Post A Comment: