Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa manyara Alexander Mnyeti akiwa sambamba na waatalam mbali mbali wa Serikali wakati akihakiki alama za mipaka iliyoweka na hifadhi ya taifa ya Tarangire na pori la hifadhi mkungunero katika Kijiji cha kimotoroki Wilaya ya Simanjiro mkoani manyara.
Wanachi wa kijiji cha kimoroki wakati wakisikiliza mkuu wa Mkoa wa manyara Alexander mnyeti Mara baada ya kukagua alama zilizowekwa na hifadhi ya Tarangire na pori Tengeru la mkungunero.
Matukio ya picha mbalimbali
Post A Comment: