Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James amemjulia hali Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma aliyepata majeraha ya moto Jumapili ya wiki hii baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuungua kwa moto.



Share To:

msumbanews

Post A Comment: