Mkuu wa wilaya ya Monduli Mh. Idd hassani kimanta jana alifanya ziara ya kutembelea na kukabidhi Miradi ya mabadiliko ya Tabia nchi ambapo miradi hiyo ilitekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Monduli kwa jumla ya Tsh 601.330.069
Mradi ambayo Dc Kimanta alitembelea na kukagua ni ujenzi wa soko la mifugo katika kijiji cha nanja kiligharimu Tsh.128.179.388 Mradi wa Maji wa upanuzi wa mtandao wa maji kijiji cha irerendeni katika kata ya Engaruka ambapo pia mkuu huyo alikabidhi kwa kamati ya usimamizi wa mradi ambayo inaundwa wanakijiji na halmashauri.
Post A Comment: