MWANASIASA mkongwe nchini ambaye alikuwa muiongoni mwa waasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Victor Kimesera ameibua simanzi, vilio na majonzi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika, jana Machi 29, 2028, katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Post A Comment: