Msanii wa muziki Prezzo kwa kushirikiana na Dogo Janja wameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Hamsa Mia’. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Daxo Chalii & Marco Chalii katika studio za Mj records,Video imeongozwa na Msafiri 
Share To:

msumbanews

Post A Comment: